Mwili wa mtoto mchanga jinsi ya kiume umekutwa ukiwa umetumbukizwa katika tundu la choo cha wasichana katika Shule ya Sekondari Kazima Manispaa ya Tabora.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Kazima Mrisho Kivuruga amekana wasichana wa Shule hiyo kuhusika na tukio, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ASP. Emmanuel Nley ametoa taarifa.
MANARA AMVAA ZAHERA “HANA HESHIMA, “MIMI NA MASAU BWIRE TUKISEMA TUNAFUNGIWA”