Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imezipiga marufuku radio zote nchini na televisheni kutumia watu wasio na taaluma ya uandishi wa habari kuendesha vipindi vyao.
Marufuku hiyo imekuja kufuatia siku za hivi karibuni kuibuka wimbi la wasanii, wachekeshaji kutangaza vipindi mbali mbali vya radio na televisheni.