AyoTV

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba kwa wanaosema amekaa kimya Kuhusu watu kutekwa

on

Baada ya taarifa za baadhi ya watu kudaiwa kutekwa nchini kisha watu mbalimbali wakiwemo Wabunge kuhoji ni kwanini Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ameendelea kukaa kimya bila kutolea ufafanuzi wowote, Leo April 12, 2017 Waziri Nchemba alisimama Bungeni na kuzijibu hoja hizo.

Waziri Nchemba amesema…>>>’Wanasema mbona sisemi juu ya kinachoendelea, hii ni Wizara ambayo siyo kila kitu ni habari, Wizara ina vyombo, Lazima tutoe fursa kwanza vyombo vilivyo chini yangu vifanye kazi kabla ya mimi kuzungumza

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Waziri Mwigulu hunasababu kukaa kimya wakati wananchi wanalalamikia’–Ridhiwani Kikwete 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments