AyoTV

Video:Wasanii walivyoingia studio usiku kurekodi wimbo wa kumuenzi Ruge

on

Ni Simanzi na Majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari na burudani baada ya kufariki kwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambae alifariki Feb, 26, 2019 Afrika Kusini ambapo alipokuwa akipatiwa matibabu.

Sasa usiku wa kuamkia leo wasanii kutoka Tanzania House of Talent (THT) na wengineo walikutana kwenye studio za msanii Barnaba kwa ajili kurekodi wimbo wa kumuenzi Ruge Mutahaba.

ALICHOZUNGUMZA JOSEPH KUSAGA KUHUSU KIFO CHA RUGE MUTAHABA

Soma na hizi

Tupia Comments