April 18 2017 kikao cha kamati ya haki na hadhi za wachezaji kilikaa kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la timu ya Kagera Sugar kuomba mapitio mapya ya maamuzi ya bodi ya Ligi kuinyang’anya point tatu kwa na kupewa Simba kwa madai walichezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi 3 za njano.
Kikao kilianza saa nne kamili asubuhi na kumalizika saa 20:30 usiku yaani kilidumu kwa saa kama kumi huku wahusika wapande zote mbili akimemo mchezaji Mohamed Fakhi, baada ya hapo katibu Mkuu wa TFF Selestine Mwesigwa aliongea na waandishi na kueleza walipofikia.
VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0