on air with millardayo

Mwigizaji Tanasha wa “Nagharamia” kaja TZ, kaeleza kwanini alikataa za wengine akakubali ya Alikiba

on

Tanasha ni Mwigizaji raia wa Kenya ambaye sura yake ilionekana sana na Watanzania kwenye video ya “nagharamia” ya Alikiba na Christian Bella ambapo leo amekaa kwenye OnAiR with Millard Ayo na kuongelea maisha yake na kwanini alikataa video za wengine na kukubali ya Alikiba.

VIDEO: Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala kaingia kwenye Bongofleva, mtazame mwenyewe akiongea kila kitu kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments