Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#NIPASHE Waziri Mkuu, Majaliwa ametoa tamko la kuanza mahakama ya mafisadi ifikapo Julai pic.twitter.com/FSjZ8sPmxD
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli amemwagiza katibu Mkuu wa CCM, Kinana kuanza kuwatafuta watumishi hewa ndani ya chama hicho pic.twitter.com/0pTpjK5jAt
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#NIPASHE Baada ya Rais Magufuli kupiga marufuku pool kuchezwa asubuhi, vijana wametii kwa kutoonekana hata jioni pic.twitter.com/d2LwIL9TG5
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#NIPASHE CUF imesema kuzuiwa vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge ni udikteta wa serikali pic.twitter.com/tn0BkuftGF
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#NIPASHE Mil 394 hutumika kulipia alama ya utambulisho wa bidhaa kutoka Kenya, huduma ambayo inaweza kutolewa nchini pic.twitter.com/Q4v4fzivR7
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#MWANANCHI UKAWA wasusia bajeti bungeni, Mbowe ataja kasoro tatu zilizosababisha wachukue uamuzi huo pic.twitter.com/EX2TejcXjB
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#MWANANCHI Ofisi ya Waziri Mkuu kutumia bajaji, bodaboda kuendesha shughuli zake ikiwa ni mkakati wa kubana matumizi pic.twitter.com/uAEvcA7eCx
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#HabariLEO Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari ya kunyesha mvua kubwa kuanzia kesho hadi mwisho wa mwezi huu pic.twitter.com/2kv4mBFwBU
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
#UHURU Yono Auction Mart kuanza kuuza mali zenye thamani ya bil 6.5 za wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi pic.twitter.com/JRtFDY9w8c
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
Wauguzi mkoani Rukwa wamemtelekeza mjamzito na kumpa mumewe glovu amzalishe na kusababisha kifo cha mtoto pic.twitter.com/bI5gWqpNJT
— millardayo (@millardayo) April 23, 2016
ULIIKOSA YA SABABU ZA UKAWA KUSUSIA BUNGE? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE