Kuelekea siku ya mtoto Afrika ambayo huadhimishwa June 16 kila mwaka, mwaka huu ina kauli mbiu ‘ubakaji na ulawiti wa watoto vinaepukika chukua hatua kumlinda mtoto‘
Kuanzia mwaka 2013 Manispaa ya Ilala kupitia kituo cha One Stop Centre na ofisi za ustawi wa jamii hadi March mwaka huu 2016 Jumla ya watoto 1213 walipatikana na kupewa huduma baada ya kufanyiwa vitendo tofauti vya ukatili, kati ya hao 863 ni matukio ya ukatili yaliyopokelewa One Stop Centre-Amana Referal Hospital.
469-walibakwa
163 -waliolawitiwa
114- ukatili wa kimwili
267 -kutelekezwa
143- waliookotwa
34 -watoto waliobakwa na kulawitiwa pamoja
421- watoto walioathirika kisaikolojia baada ya kufanyiwa ukatili baada ya kutelekezwa
24- watoto waliopimwa DNA baada ya mgogoro wa wazazi wao.
ULIKOSA HII YA VIFO VYA WAZAZI BADO TATIZO, MBUNGE JULIANA KATAKA SERIKALI KUJIPANGA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE