Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Bodi ya Shirika la changamoto za Millenia MCC, imefunga ofisi zake ikiwa ni miezi sita tangu kusitisha misaada yake Tanzania pic.twitter.com/TIdqha5WvW
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kuwa wizara ya Afya na wizara ya Fedha zimekua zikisuasua katika utekelezaji wa ahadi ikiwemo tatizo la uhaba wa dawa pic.twitter.com/cdU6FSlXXC
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#MWANANCHI Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma imeendelea kutangaza kuwa ajira mpya serikali zimesitishwa mpaka uhakiki ukiisha pic.twitter.com/zbPRY7qzBM
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#MWANANCHI Utafiti umebaini kuwa dawa hizo husababisha vifo kwa 20% kutokana na shambulio la moyo kila zinapotumiwa bila ushauri wa Daktari pic.twitter.com/h8IWvutXCi
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Waziri mkuu Majaliwa amesema Dodoma itakua na huduma zote muhimu kama ilivyo DSM pic.twitter.com/GNbvhwxrd8
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kuwa TRA wamesambaza mashine za EFD 2700 kati ya 5700 kwa wafanyabiashara wa Dar ili kuondoa sababu za kukwepa kodi pic.twitter.com/XoLAWvvS9S
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Wanafunzi 32 wa shule za msingi na sekondari mkoani Lindi wameshindwa kuendelea na masomo baada kushika ujauzito ndani ya mwaka huu pic.twitter.com/AIWzdKcd6y
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kuwa Juisi ya Tikitimaji likisagwa na mbegu zake husaidia kuongeza nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo hilo pic.twitter.com/uJdkTIzdaC
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Waziri mkuu Majaliwa ameagiza kubomolewa kwa nyumba zilizojengwa kwa matope Dodoma mjini ili kuupa mkoa huo hadhi ya makao makuu pic.twitter.com/LTEiUe5EbZ
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Wakati Manchester Utd ikijiandaa kukutana na Stoke City leo Kocha Jose Mourinho ameomba kupewa muda zaidi ili kukisuka kikosi chake pic.twitter.com/Hz7GgrhoYc
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema kuendelea kuinoa Club hiyo kutategemea kama timu hiyo itaendelea kufanya vizuri pic.twitter.com/0x2OFVStN7
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Kocha Arsene Wenger amekiri kuvutiwa zaidi na wachezaji kutoka Afrika ambao wamesaidia kuipa matokeo mazuri Club ya Arsenal pic.twitter.com/d5EPICNGne
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
#NIPASHE Serengeti Boys wanakutana na Congo Brazaville leo huku wakihitaji sare yoyote ili kufuzu fainali za Under17 mwakani huko Madagascar pic.twitter.com/n5OwaOIpUR
— millardayo (@millardayo) October 2, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 2 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI