Michezo

Mechi ya timu ya akina Samata dhidi ya wapinzani wao yasababisha vifo vya mashabiki 16

on

BnatcfpIYAAx8HNMaafa makubwa yametokea kwenye soka nchini DR Congo.

Angalau watu wapatao 15 ambao ni washabiki wa soka wamepoteza maisha kwenye mchezo wa TP Mazembe dhidi ya ASV Club.

Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Emmanuel Akweti, kwenye mahojiano na shirika la habari la Uingereza alisema kwamba:

“Mapolisi wanne walikuwa wakisumbuliwa na mashabiki. Walipoamua kupiga mabomu ya machozi, fujo zikaanza kuzuka na kusababisha vifo.” 

confusao_mazembe_mediacongo_690

mashabiki wakifanya vurugu uwanjani

 

confusao_mazembe02_twitter_690

Polisi wakiwahudumia baadhi ya majeruhi na wengine waliofariki

 

 

Tupia Comments