Mamlaka ya mapato nchini TRA Mkoani Arusha imefanya Operesheni katika maeneo mbalimbali katika jijiji la Arusha kufuatilia Watu ambao hawatumii mashine za EFDS pamoja nakutoa risiti ambapo wamekutana na mmoja wa Mfanyabiashara ambaye inadaiwa amekusanya zaidi ya Milioni 10 kwa mwezi lakini kwenye mashine.