Habari za Mastaa

Picha 6: Harmonize atua Mwanza, kuinogesha The Cask Bar

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae tayari ameshawasili mkoani Mwanza kwaajili ya kuwaimbia mashabiki zake, staa huyo ataimba live usiku wa leo Jumamosi  26, 2022 katika jukwaa litakalofungwa The Cask Bar & Grill.

Akizungumza na Millardayo.com & Ayo TV Meneja wa msanii huyo alisema..’Ni show ambayo itakuwa ya tofauti kati ya show alizowahi kufanya kwahiyo 2022 tuna ubunifu wa kitofauti naomba mashabiki wetu wajumuike nasi The Cask Bar usiku wa leo nisingependa kuzungumza sana wafike kushuhudia burudani kali’– Sebastian Ndege

.

.

.

.

Tupia Comments