Kwenye ahadi kubwa za Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli ziko na hizi mbili kubwa >>> kupambana na ubadhirifu pamoja na ukusanyaji wa mapato.
Kazi ya kukusanya Mapato ilikabidhiwa kwa mikono miwili kwa Mamlaka ya Mapato TRA, nao wamekuja na matunda ya kazi yao kwa mwezi January 2016… ripoti iliyotolewa leo January 30 2016 ni kwamba Mamlaka hiyo imefanikiwa kuandika rekodi nzuri ya kukusanya mapato ya kodi zaidi ya trilioni 1.
Mgawanyo wa mapato hayo utaenda kuboresha maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye elimu ambayo inatolewa bure pamoja na huduma za afya.
#MillardAyoUPDATES: TRA imefanikiwa kukusanya kodi zaidi ya trilioni 1 mwezi January 2016, zitapelekwa kwenye huduma kama za afya na elimu.
— millard ayo (@millardayo) January 30, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE