June 17 2016 nimekutana na hii stori kuhusu kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari na siku zitakazoanza kutumika chombo cha habari cha ‘CNN’ wametoa taarifa na headlines zikionyesha kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari nchini Japan na kuanza kutumika May 2017 na hizi ndio zitakuwa Treni za kifahari zaidi duniani.
Treni hii ya Twilight Express Mizukaze ya JR Magharibi na treni ya Suite Shiki-Shima ya JR Mashariki zitakazo anza kufanya kazi rasmi May 2017, Treni hizi yenye uwezo wa kubeba abiria 30 na kua na wasimamizi 1o.
Treni hizo zitakuwa na madirisha ya vioo zitakavyoweza kuwaonyesha abiria nje na kupata nafasi ya kuona maeneo yote kama Osaka na Shimonoseki,Miyajima, bahari ya Japan, Mlima Daisen na Seto na visiwa vya bahari ya Inland ambavyo vitaweza kuwapa fursa ya kuweza kupiga picha.
ULIKOSA VIDEO YA NEWZEALAND KUWA NA UHABA WA MAPARACHICHI? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI…..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE