Baada ya headlines za muda mrefu kuhusiana na mgogoro wa Stand United kuwa na kambi mbili zinazofanya uchaguzi, shirikisho la soka Tanzania TFF leo July 6 kupitia afisa habari wake Alfred Lucas limetangaza tamko la kutokutambua uchaguzi wa Stand United uliofanyika.
“Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF lilitoa taarifa kuhusiana na michakato miwili ya uchaguzi iliyokuwa inaendelea ndani ya klabu ya Stand United, lakini ilitoa tamko kuwa michakato yote isimame na kutoendelea kufanyika, hivyo haitambui uchaguzi uliofanyika”
ALL GOALS: STAND UNITED VS SIMBA FEBRUARY 13 2016, FULL TIME 1-2