Kama unakumbuka March 23 2016 jeshi la Polisi mkoani wa Kilimanjaro walikamata tumbili 61 waliokuwa wakisafirishwa kwenda nchini Albania kwenye uwanja wa kilimanjaro (KIA).
Chama cha kusafirisha viumbe hai ambacho ndicho kinachoratibu usafirishaji huo kupitia kwa mwenyekiti wake Othuman Chana Boki amezungumza na millardayo.com na AyoTV na kuiomba serikali kuwaruhusu kendelea kusafirisha wanyama hao.
Mwenyekiti juyo amesema wapo na wengine zaidi ya 26,000 ambao wamebaki ikiwemo mijusi, tumbili, jongoo na wengine huku wakitoa sababu kuwa baadhi ya viumbe hivyo ni waharibifu hivyo waruhusiwe kuwauza nje.
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA? Hii ya wanyama waliokamatwa uwanja wa ndege Kilimanjaro March 23 2016 wako hai, Bonyeza play hapa chini