Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 11, 2015 unazisoma zote kwa pamoja.
Madudu mazito sekta ya elimu yagundulika, Waziri ashtushwa lugha za Walimu, aahidi mabadiliko ndani yya mwaka mmoja #MagazetiJAN11 #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Jitihada za kuboresha mazingira ya soko Mbagala Kuu kwa usafi zaanza kusuasua kutokana na changamoto mbalimbali #MagazetiJAN11 #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Ubalozi wa Japan TZ wamwaga msaada wa mil.200 kwa ajili ya upanuzi wa shule ya Sekondari ya Nkowe iliyoko Lindi #MagazetiJAN11 #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Waziri Charles KITWANGA amesema hayuko tayari kufukuzwa kazi kwa uzembe wa taasisi au Idara iliyoko chini yake #MagazetiJAN11 #NIPASHE

TZ yapata heshima kubwa Duniani baada ya mchezaji Mbwana SAMATTA kutwaa Tuzo ya mchezaji bora Afrika #MagazetiJAN11 #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Mkuu wa Wilaya ya B’moyo aahidi kupambana na watu wanaovamia maeneo ya mashamba pori #MagazetiJAN11 #NIPASHE >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Chama cha Walimu kimeshauri Serikali kubadili muda wa masomo ili kutoa nafasi walimu na wanafunzi kupumzika na kuboresha taaluma #MIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Mtu mmoja atishia kuwashtaki Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi mtendaji kwa Rais, adai hawaendi kwa kasi #NIPASHE JAN11 >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Mtafiti wa wanyama duniani ‘Ice Man’ apania kuweka rekodi kupanda mlima K’njaro kwa saa 30 #MagazetiJAN11 #NIPASHE >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Majambazi wawili wafunga barabara, waiteka gari ndogo Moshi na kupora pesa sh.782,000 #MagazetiJAN11 #NIPASHE >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Jumla ya watu 204 wafariki kwa kipindupindu, wengine 13,220 walazwa baada ya kupata maambukizi TZ toka ugonjwa ulipolipuka 2015 #NIPASHE

Waziri LUKUVI aagiza ardhi yote TZ kupimwa na wamiliki kupatiwa hati za kumiliki viwanja #MagazetiJAN11 #NIPASHE >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Watu 12 wafariki kwa kuliwa na mamba kwenye bwawa lililopo Busokelo Wilaya ya Rungwe Mbeya #MagazetiJAN11 #NIPASHE >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Mexico yajipanga kumpeleka ‘mzungu wa unga’ El CHAPO Marekani ili akakabiliane na mashtaka #MagazetiJAN11 #NIPASHE >>https://t.co/G1CYCh6z8D

Nyumba moja ambayo walikuwa wakiishi walimu wawili yateketea kwa moto Muheza Tanga, walimu walikuwa likizo #NIPASHE>>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Daktari mmoja amuua mgonjwa kwa kumpiga ngumi Russia, alianza kwa kuwashambulia wahudumu wake #MagazetiJAN11 #UHURU >https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Mwalimu Mkuu agoma kupokea michango ya wazazi walioshindwa kulipa ada mwaka 2015 baada ya agizo la ‘elimu bure’ #MagazetiJAN11 #UHURU
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Zahanati ‘bubu’ yagundulika Rungwe, inalaza wagonjwa chini, yakutwa na dawa za MSD #MagazetiJAN11 #UHURU >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Meneja wa majisafi na majitaka Wilaya ya Igunga Tabora atuhumiwa kununua vifaa chakavu #MagazetiJAN11 #JamboLEO >>https://t.co/G1CYCh6z8D
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Tiba ya macho na kisukari itaanza kutolewa leo bure katika kambi ya kitabibu iliyopo katika hospitali ya Regency, Dar #HabariLEO #JAN11

Wizara ya mambo ya ndani imesema oparesheni ya kuwachukulia hatua raia wa nje wanaofanya kazi kinyume cha sheria ni endelevu #HabariLEO JAN
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Kanisa la Wasabato nyanda za Juu kusini wametoa waraka mpya wa ndoa, waliougua magonjwa ya zinaa, kutoa mimba wasifungishwe ndoa #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
TAKUKURU Mara inamshikilia ofisa maji wa ofisi ya Bonde la Ziwa Victoria kwa tuhuma za ubadhirifu na uhujumu uchumi #MTANZANIA #JAN11
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Maalim Seif leo anatarajia kufichua siri ya mazungumzo ya kusaka suluhu baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu Z’bar kufutwa #MTANZANIA #JAN11

Baadhi ya wanaume huko Kiteto wamelazimika kuzikimbia familia zao kutokana na baa la njaa lililoikumba Wilaya hiyo #MTANZANIA #JAN11
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Waziri January Makamba amefanya ziara na kujionea namna wananchi waliobomolewa nyumba zao wanavyoishi kwa kukosa makazi #MTANZANIA #JAN11
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Viongozi wa Sengerema wanadaiwa kuwachapa viboko hadharani wanawake wanaovaa nguo fupi zinazoonyesha baadhi ya sehemu zao za siri #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) January 11, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.