Habari za Mastaa

Iggy Azalea karudi na hii mpya baada ya ukimya wa muda mrefu; ‘Azillion’ – (Audio)!

on

Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Australia, Iggy Azalea amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani baada ya ukimya wa miezi kadhaa.

Iggy Igz anaileta kwetu ya kwanza kutoka kwake kwa mwaka huu wa 2016, wimbo unaitwa Azillion. Kama haijakufikia bado feel free kukutana nayo hapa chini kwenye hizi dakika zake tatu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.


Soma na hizi

Tupia Comments