Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Waziri Mkuu mstaafu John Malecela, amesema kazi ya utendaji wa Rais Magufuli haijawahi tokea ktk historia ya taifa hili #GazetiUHURU #Feb13
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Ripoti zinaonyesha kuwa kuzuia safari za nje, Rais Magufuli ameokoa Bil 7 ndani ya siku 100 #GazetiNIPASHE #Feb13>>>https://t.co/arx911IPIL
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Mwanaume aliyeishi muda mrefu na moyo wa kupandikizwa amefariki baada ya kuishi miaka 33 na moyo huo #GazetiMTANZANIA #Feb13
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Prof. Muhongo aingia tena mtegoni, apata kigugumizi kuzungumzia ushiriki wake sakata la mita za kupimia mafuta #GazetiMTANZANIA #Feb13
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Jeshi la Polisi Tarime, limemzawadia Sh. Lak 5 Sophia Manguye (46), baada ya kupambana na jambazi kisha kumnyang'anya bunduki #GazetiNIPASHE
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Serikali imewasimamisha kazi Watendaji 2 ktk sekta ya Wakala wa vipimo (WMA) ili kupisha uchunguzi upotevu wa mafuta bandarini #GazetiUHURU
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Idara ya Uhamiaji Dar, imefanikiwa kuwaokoa Wanawake 2 raia wa TZ waliokuwa wanajiandaa kwenda kuuzwa Uarabuni #GazetiUHURU #Feb13
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Ugonjwa wa Kipindupindu Umeua Watu 8 na wengine 300 wamelazwa ndani ya siku 3 Mkoani Musoma #GazetiMWANANCHI>>>https://t.co/arx911IPIL
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Vigogo 11 (TRL) wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka #GazetiHabariLEO #FEB13
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Joseph Stanford (20) katembea kwa miguu kwa siku 25 kutoka Mwanza hadi Dar kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli #GazetiHabariLEO #FEB13
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE