Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Zote nakusogezea hapa chini
Mikoa ya kanda ya Ziwa inaongoza kwa kiwango kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa kichocho nchini #JamboLEO #FEB3>>https://t.co/9YzpDshpgD
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Jeshi la Polisi Moro linawashikilia wahamiaji haramu 12 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria #NIPASHE #FEB03
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Watu 2 wamefariki katika kijiji cha Alabama, Morogoro baada ya kuzolewa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha #NIPASHE #FEB03
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Watu 3 wamefikishwa Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Mil 65.6 #HabariLEO>>>https://t.co/9YzpDshpgD
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Mkuu wa Mkoa Pwani, Evarist NDIKILO amesema wafanyabiashara wasiofanya usafi kila j'mosi ya mwezi watapigwa faini ya elfu 50 #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imewahukumu jela miaka 5 vijana 2 baada ya kukiri kuwasafirisha wahamiaji 83 kutoka Ethiopia #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Naibu Waziri wa Afya nchini El Salvador, Eduardo ESPONOZA amepiga marufuku wanawake nchini humo kubeba ujauzito hadi mwaka 2018 #RaiaMWEMA
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Mbunge Angelina MALEMBEKA (Viti maalum-CCM) amema ni vyema wabunge wakapimwa akili kabla ya kuingia bungeni #GazetiUHURU #FEB03
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Zaidi ya kaya 500 Mtwara hazina makazi baada ya nyumba zao kusombwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendela kunyesha #MWANANCHI #FEB03
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Rais Robert MUGABE amesema atatawala nchi yake hadi MUNGU atakapomwita na si kung'atuka kwa shinikizo la Wazungu #RaiaMWEMA #FEB03
— millardayo (@millardayo) February 3, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.