Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 21, 2015, unazisoma zote kwa pamoja.
Chama cha ACT-Wazalendo kimetoa mapendekezo matatu jinsi ya kumaliza mgogoro Z’bar #MagazetiDEC21 #MWANANCHI>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Serikali imeagiza TBC kutoa maelezo ya kina baada ya kurusha ‘live’ matangazo ya harusi #MagazetiDEC21 #MWANANCHI>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Kamanda wa Polisi Tanga amesema Madiwani 10 watafikishwa Mahakamani ikibainika wamehusika na vurugu #MWANANCHI>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Jeshi la Polisi lawatumbua ‘majipu’ trafiki, lawahamisha vituo vya kazi, wengine wasimamishwa kwa tuhuma za rushwa #MagazetiDEC21 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Vijana wa CCM Iringa wawafungia M’kiti na Mkuu wa Mkoa ofisini, wamtuhumu M’kiti huyo kukihujumu chama #MagazetiDEC21 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Freeman MBOWE amesema anafurahi kuona Rais MAGUFULI akitekeleza sehemu kubwa ya sera za chama chake na kuangalia maslahi ya taifa #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Waethiopia 42 wanaswa Dar wakiwa hawana vibali, wakutwa wanaishi wamezungukwa na uchafu #MagazetiDEC21 #MWANANCHI>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Mbunge K’ndoni, Maulid MTULIA amesema leo anakwenda Mahakamani kufungua kesi kupinga bomoabomoa #Magazeti MWANANCHI>>https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Naibu Waziri Selemani JAFO awajia juu watumishi wenye majungu, asema kama wameshindwa kazi wajiondoe kabla hawajachukuliwa hatua #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Wakazi wa Chamwino DOM wanaishi kwa kula matunda pori, wakabiliwa na upungufu wa chakula #MagazetiDEC21#MWANANCHI>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Radi yaua mtu mmoja Ukerewe, mvua kubwa yaleta maafa na kuacha familia 134 bila makazi #MagazetiDEC21 #MWANANCHI>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Bomu lazua kizaazaa kwenye ndege ya Air France, yalazimika kutua ghafla Kenya, abiria wawili wanahojiwa Polisi #MagazeriDEC21 #MWANANCHI

Mashabiki wa Chelsea wazua gumzo, wawazomea wachezaji uwanjani baada ya MOURINHO kutimuliwa #MWANANCHI #DEC21 >>>https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Waziri Nape NNAUYE anatarajiwa kumwakilisha Mama Samia SULUHU kwenye Tamasha la Krismas Diamond Jubilee #MagazetiDEC21 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Waziri LUKUVI atangaza kiama kwa kuwashughulikia mafisadi wa ardhi, waanza kuhaha kumkimbia #MagazetiDEC21 #DIRA >> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Mali za TFF ziko shakani, imedaiwa kuwa Mamlaka ya Mapato TRA huenda ikazipiga mnada iwapo TFF watashindwa kulipa kodi #MagazetiDEC21 #DIRA
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Rais MAGUFULI anajiandaa kufanya mabadiliko makubwa Jeshi la Polisi TZ ikiwemo kumuondoa mkuu wa Jeshi hilo #MagazetiDEC21 #MwanaHALISI
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Zitto KABWE amesema ukimya wa Z’bar unatisha, wananchi wana hofu huku mgogoro ukiwaumiza #MagazetiDEC21 #RaiaTZ >>> https://t.co/bnkmfjJGFt
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Kampuni 27 za kununua, kuuza madini ya Tanzanite Arusha zilizosajiliwa zinachunguzwa na Serikali baada ya kubainika kukwepa kodi #HabariLEO
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
#Tweet 2 Ni kodi ya zaidi ya bilioni 150 tangu mwaka 2013/14, wamepewa muda hadi Jan.15 wawe wamelipa vinginevyo watafutiwa leseni zao
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
TANESCO imeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara kukodi jenereta 75 kutoka China #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) December 21, 2015
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.