Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 5, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Sakata la Makontena bandarini laibua vituko, mtoto wa KOVA na vigogo wengine wadaiwa kuwemo, alidhaminiwa usiku #MagazetiJAN5 #JAMHURI
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Muasisi wa CHADEMA, Mzee Edwin MTEI akunwa na kasi ya Rais MAGUFULI, asema haijawahi tokea toka nchi ipate uhuru #MagazetiJAN5 #TazamaTZ
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Gari la Askari mmoja ladakwa Tanga likidaiwa kusafirisha wahamiaji haramu 10, yadaiwa kufanyika mbinu liachiwe #MagazetiJAN5 #JAMHURI

Mahakama Kuu leo kutoa uamuzi kuhusu zoezi la bomoabomoa Dar, mvutano mkali waibuka Mahakamani #MagazetiJAN5 #MAJIRA>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Basi la LUWENZO lagonga lori kwa nyuma na kuua watu wanne, majeruhi 33, lilitokea Njombe kuja Dar #Magazeti #MAJIRA>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Serikali yanunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya dola mil.1.7 hospitali ya Muhimbili #MagazetiJAN5 #MAJIRA>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Halmashauri ya Ilala kuanza kutumia mfumo wa kieletroniki kulipia kodi za majengo #MagazetiJAN5 #MAJIRA>https://t.co/ii3LcuMLmO

Mamlaka ya hali ya hewa yawataka waishio mabondeni kuhama kabla ya kuanza kwa mvua za El-Nino #MagazetiJAN5 #MAJIRA>https://t.co/ii3LcuMLmO

Kipindupindu chashika kasi Arusha na Mwanza, Wizara ya Afya yasema kasi yapanda mikoa hiyo #MagazetiJAN5 #MAJIRA >>https://t.co/ii3LcuMLmO

Serikali imesema inanyang’anya waliohodhi vitalu vya madini bila kuviendeleza na kuwapatia wachimbaji wadogo #MAJIRA>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Mbunge wa Iringa, Mchungaji MSIGWA ampongeza Rais MAGUFULI kwa kasi ya utumbuaji majipu #MagazetiJAN5 #MAJIRA >>>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Chama cha wamiliki wa mabasi kimeagiza mabasi yote kuwa na vifaa vya kutunzia taka pamoja na kupulizia dawa ya kuua wadudu #Magazeti #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Rais MAGUFULI ampa CAG Profesa ASSAD kuongeza pato la Taifa kwenda juu zaidi ya 14% #MagazetiJAN5 #MWANANCHI >>>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Madaktari wa Hispania watangaza kugundua dawa ya UKIMWI, wadai ni tiba ya uhakika #MagazetiJAN5 #MWANANCHI >>>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Rais MAGUFULI afuta hati ya hekta 1,870 shamba la Kapunga Mbeya, ardhi yakabidhiwa kwa wanakijiji #MWANANCHI JAN5>>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Askari wa jeshi la Polisi Mwanza anadaiwa kumpiga raia kwa fimbo na kumsababishia kifo,Ni baada ya kugundua pochi yake haipo #MTANZANIA JAN5
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Mamlaka ya hali ya hewa yasema joto la Dar sio la kawaida, latokana na ongezeko la joto bahari ya Pacific #MWANANCHI>https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Serikali imefunga mashine mpya ya CT Scan yenye gharama ya bilioni 3.5 katika hospitali ya Muhimbili #MTANZANIA JAN5 https://t.co/ii3LcuMLmO
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Baada ya Rais MAGUFULI kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi, safari hii ni zamu ya wabunge ambao wamezuiwa kusafiri #MTANZANIA #JAN5
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Zoezi la kuweka nyumba X liliendelea jana huku nyumba 3,000 zilizojengwa bonde la Mto Msimbazi zikiwa tayari kwa kubomolewa #MTANZANIA #JAN5
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Waziri Mkuu MAJALIWA amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa kusimamia shule za Msingi na Sekondari #MTANZANIA JAN5

Manispaa ya Ilala imetoa orodha ya wadaiwa sugu wa kodi za majengo likiwemo Shirika na ndege la ATCL pamoja na Yusuph Manji #MTANZANIA #JAN5

Serikali imesema itachukua vitalu vya madini visivyoendelezwa na kuwapatia wachimbaji wadogo nchini ili waviendeleze #MTANZANIA #JAN5
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Kampuni ya UDA imependekeza nauli kubwa itakayotozwa mabasi ya mwendokasi ambayo imezua malalamiko, itakuwa 1,400 au 1,200 na 700 #MTANZANIA

Nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, RONALDINHO anatarajia kutua England kutokana na ofa anazopata #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Serikali imefanikiwa kupata nyaraka zote muhimu kutoka UN na kwa wakoloni zinazoonyesha mpaka wa Tz,Malawi upo katikati ya Ziwa Nyasa #UHURU
— millard ayo (@millardayo) January 5, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.