Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini
#MWANANCHI Mizengwe yaikwamisha 'kamati ya Lugumi', licha ya kuteuliwa wiki moja iliyopita, bado haijaanza kazi pic.twitter.com/14wveqfrCq
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
Hospitali ya Mawenzi Moshi mjamzito afariki akijifungua, mwingine apasuka kibofu, aondolewa kizazi kwa kukosa huduma pic.twitter.com/l3Ic6Bq2Jc
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#MWANANCHI Mzigo wa kodi 12 zinazotozwa ndio sababu kuu ya bei ya petroli kuwa juu licha ya kushuka soko la dunia pic.twitter.com/I7zQwVbT8I
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#MWANANCHI Kambi ya upinzani yaibua madudu ya miradi bungeni, ni ile inayohusu mazingira, yataka CAG aikague pic.twitter.com/v2bescdYgZ
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#MWANANCHI Vilio, majonzi vilitawala Iloganzila, Kibamba Dar wakati wa ubomoaji wa nyumba zaidi ya 400 ulipoanza pic.twitter.com/SopB5HOrgM
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#MTANZANIA Mkoa wa Lindi una Kampuni 98 zenye leseni 213 za utafutaji wa madini pic.twitter.com/v2zV3BaW3L
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#NIPASHE IGP Mangu amesema hajapewa taarifa za kumpandisha cheo askari, na kwamba atalazimika kupata mafunzo kwanza pic.twitter.com/L5P9KcmST0
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#NIPASHE Tanzania ni miongoni mwa nchi 8 Afrika zinazoongoza wagonjwa wengi wa kisukari wenye umri kuanzia miaka 25 pic.twitter.com/Qx0JHvx8CH
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#HabariLEO TUCTA imesema Rais Magufuli ameonesha mwanzo mzuri ktk kuboresha maslahi ya wafanyakazi nchini pic.twitter.com/xHGhKRLcsd
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
#NIPASHE Sakata la utata wa umiliki wa UDA, baraza la madiwani Dar waahidi kuanika mbivu na mbichi za madudu yake pic.twitter.com/hRVgt4H0Df
— millardayo (@millardayo) May 3, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA HII YA SEKTA 5 ZINAZOONGOZA KWA UCHUMI NA KUTOA AJIRA TANZANIA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI