Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#NIPASHE Rais Magufuli ametangaza kupunguza kodi ya mishahara (Lipa kadri unavyopata – PAYE) kutoka 11% mpaka 9% pic.twitter.com/RTdE8bW5xG
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#NIPASHE Wafanyakazi Dar watia fora baada ya wengi wao kutoshiriki kikamilifu maadhimisho ya siku ya wafanyakazi pic.twitter.com/WLqAjDjWSM
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#NIPASHE Mwanafunzi mmoja tu kidato cha kwanza aripoti kati ya wanafunzi 92 waliofaulu Muheza, shule yafungwa pic.twitter.com/mn1JoIKLxf
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli ameitaka mifuko ya hifadhi ya jamii kuwekeza ktk shughuli za uzalishaji kama kujenga viwanda pic.twitter.com/07yULYULsW
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#NIPASHE Rais Shein ameahidi kuongeza kiwango cha mishahara wa kima cha chini Z'bar, kutoka 150,000 hadi 300,000 pic.twitter.com/X8MCO8JM0G
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#MWANANCHI Ripoti ya CAG imebainisha bil 100 zimepotea kutokana na mafuta kutolipiwa kodi na ushuru wa forodha pic.twitter.com/ORyIvTkpXn
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#MWANANCHI Rais ampandisha cheo askari baada ya kumthibiti mke wa waziri mmoja ambaye dereva wake alifanya makosa pic.twitter.com/Vp00NWeDan
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#MWANANCHI Afya za madereva wa masafa marefu chanzo cha ajali, hudhani wanapoteza muda kwenda hospitali kupima afya pic.twitter.com/e3fnHFSBaM
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#MWANANCHI Nyumba zaidi ya 400 kuvunjwa leo Kibamba, Dar kwa amri ya mahakama kuu iliyotolewa juzi pic.twitter.com/jFaktsbV15
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
#TanzaniaDAIMA Wabunge Dar kumtumbua mmiliki UDA kwa kitendo cha kujimilikisha shirika hilo kinyume cha utaratibu pic.twitter.com/ipgs984l2K
— millardayo (@millardayo) May 2, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
USIJIDANGANYE KUMTUKANA MTU MTANDAONI KWA KUJUA HUTOKAMATWA…..ANAGALIA VIDEO HII