Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Ukimuuliza Mwinyi Zahera ishu za Ajib kurudi Simba SC….

on

Club ya Yanga SC kesho ikiwa Mtwara itacheza mchezo wake wa 29 wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, Ndanda watakuwa wenyeji wa Yanga na kuelekea mchezo huo kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameongea na waandishi wa habari.

Zahera ameongea mambo mbalimbali kuelekea mchezo huo ikiwemo hali ya nahodha wao Ibrahim Ajib ambaye anasumbuliwa na majeruhi na kusema kuwa taarifa za Ajib kwenda Simba hizo ni za uongo lakini hali ya kiwanja watakachocheza kesho Nangwanda hakifai kuchezea Ligi Kuu.

Msimamo wa Samatta kuhusu hatma ya Kapombe katika mgao wa Taifa Stars

Soma na hizi

Tupia Comments