Video Mpya

VideoMPYA: Ni time ya ku-enjoy Sugar Cane ya Tiwa Savage

on

Staa wa muziki kutokea Nigeria Tiwa Savage ambaye amekuwa akilitambulisha vizuri Bara la Afrika katika mataifa mbalimbali kwa kufanya vizuri kwa nyimbo zake, time hii kaja na video mpya ya wimbo wake wa “Sugar Cane” unaweza kubonyeza PLAY kuitazama.

AUDIO:Mama Diamond hayajampita ya Hamisa na Zari

Soma na hizi

Tupia Comments