Tyrese Gibson maarufu kama Tyrese ni mtunzi wa nyimbo, performer na mwigizaji anaefahamika na mashabiki kwa nyimbo zake nyingi baadhi zikiwa Stay na Baby Boy. Anajulikana pia kwa kazi zake za kuigiza kama movie series ya Fast and Furious, na Death Race.
Siku chache zilizopita msanii huyu alitangaza kutoa album yake ya mwisho Black Rose. Hajakaa kimya sana, Tyrese ameachia video ya kwanza kutoka kwenye album hiyo wimbo unaitwa Shame, msanii wa RnB Jennifer Hudson amechukua nafasi kama video queen.
Nimekusogezea video hiyo hapa chini. Bonyeza play kuitazama.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.