Filamu ya Black Panther imeweka historia baada ya Washiriki wake wawili kunyakua tuzo katika vipengele walivyoshindanishwa na kuwa Watu weusi wa kwanza kufanya hivyo, Ruth Carter alibeba tuzo ya mbunifu bora wa mavazi na Hannah Beachler alibeba tuzo ya ubunifu bora wa filamu kupitia filamu hiyo ya Black Panther.
Black Panther imekuwa filamu ya kwanza kutoka kampuni ya Marvel StudioFilm kushinda tuzo hizo za Oscars huku ikiwa imetajwa kwenye vipengele 7 na kufanikiwa kuondoka na tuzo 2.
https://youtu.be/SimexBVPpCM
https://youtu.be/eWo7bO3ZeJY
EXCLUSIVE: Watoto waliowapiga chini Wema, Monalisa, Gabo kipengele cha Muigizaji Bora