Mrembo Poshy Queen anayetamba mtandaoni ameamua kutumia fursa baada ya watu wakumuandama mtandaoni kuhusu umbo lake kwa kudaiwa kuwa ametumia dawa za kichina ili kuongeza sehemu za mwili wake, sasa Poshy kazungumza kupitia AyoTV na millardayo.com kuonesha fursa aliyoitumia kuhusu umbo lake.
HATIMAYE: OMMY DIMPOZ KATUA BONGO, KAFUNGUKA ‘MLIOSEMA NIMEKUFA, NITAKUFA’