Video Mpya

VideoMPYA: Nedy Music amemvuta Singah wa Nigeria kwenye ‘Carino’

By

on

Kazi yangu ni kuhakikisha unapokea kila video mpya inayoingia nawakati huu namleta kwako Nedy Music akiwa na ngoma mpya inaitwa ‘Carino’ akiwa amemvuta karibu Singah kutokea Nigeria aliyetamba na ngoma yake ya ‘Teyamo’

VIDEO: VILIO NA SIMANZI MBEYA, BWANA HARUSI MSIBANI KWA BIBI HARUSI

 

Soma na hizi

Tupia Comments