U Heard ya mwisho ambayo alisikika Marehemu Kapteni John Komba ilikuwa kuhusu ishu ambayo iliandikwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba nyumba ya Mbunge huyo pamoja na baadhi ya vitu vyake ikiwemo kiwanja kupigwa mnada na Benki ambapo alikuwa anadaiwa mkopo aliochukua kwenye Benki hiyo.
Soudy Brown alimtafuta Kapteni Komba siku ya January 20 2015 akazungumzia taarifa hiyo ambapo alikanusha kwa kusema sio kweli kwamba vitu vyake vinapigwa mnada ikiwemo nyumba yake kwa kuwa alikuwa na deni Benki ambalo tayari alishalipa deni hilo.
Unaweza kuisikiliza U Heard yote hapa, Bonyeza play.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook