Ni zaidi ya mwaka mmoja umepita tangu wawili hawa hawako kwenye ndoa yao, Emmanuel pamoja na Flora Mbasha… vitu vingi vimepita hapo katikati ikiwemo ishu ya kesi za Mahakamani.
Ndoa yao itarudi baada ya kuisha kwa kesi ya madai ya talaka? Emmanuel amesema inahitaji muda wa kukaa na kutafakari kabla ya kuamua chochote kwa sasa…
Emmanuel Mbasha amesema japo walikuwa kwenye kambi mbili tofauti kwenye Kampeni haimaanishi kwamba kulikuwa na tofauti yoyote iliyofanya wasirudiane… Emmanuel alionekana na Dokii kwenye Kampeni lakini anasema kila mmoja ana maisha yake, hakuna chochote kilichoendelea kati yao.
U Heard hii hapa kwenye audio yake.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.