Kila siku Soudy Brown amekuwa akituletea matukio ya tetesi ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara kutoka kwa mastaa mbalimbali.. leo kuna mengine mapya yamemfikia, ishu ni kuhusu uhusiano wa Shilole na Nuh Mziwanda, wameachana?
Shilole ameongea na Soudy Brown akiwa Kigoma… Shishi Baby amesema hakuna ukweli wowote kwamba yeye na Nuh wameachana… kilichotokea ni baadhi ya picha zao kufutwa Instagram, hicho ni kitu cha kawaida na hakuna tatizo lolote kati yao.
Msikilize hapa Shilole akimjibu Soudy Brown kwenye U Heard September 16 2015..
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos