Director wa Kwetu Studio Msafiri ambaye amerekodi ngoma mbalimbali ikiwemo ngoma ya ‘Sielewi’, ngoma za Hemed PHD na nyingine amesema wameibiwa vifaa baada ya kuvamiwa wakiwa hotelini, katika vifaa vilivyoibiwa ni pamoja na camera, lens pamoja na computer ambavyo gharama ni zaidi ya milioni 15.
Amesema walikua wakitengeneza kipindi maeneo ya Kisarawe, wezi wakavunja mlango na kuwavamia wakati wakiwa kwenye kipindi.
Pia kulikuwa na video ambazo zimepotea ikiwemo ya Hemed, msanii wa Arusha Mbaula pamoja na vipindi vya watu.
Pia kuna kazi za wasanii za siku nyingi ambazo zilikuwa bado hazijachukuliwa.
Msikilize akizungumza na Soudy Brown…
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata piausisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos