Soudy Brown leo alikua akipiga stori na Mrisho Mpoto ambaye wamezungumza kuhusu ugonjwa wa Kipindupindu unavyosambaa..
Soudy akagusia pia kama kuna uwezekano mtoto akapata maambukizi ya kipindupindu baada ya kugusana na watu !!
Mrisho Mpoto ni mmoja ya mastaa walioshiriki kwenye Sherehe ya 40 ya Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz… Mrisho akasema sio rahisi Tiffah akapata maambukizi ya Kipindupindu japo kuna watu wengi waliomtunza pesa siku ya Sherehe hiyo.
Soudy akampata Daktari pia ambae alisema uwezekano wa mtoto kupata maambukizi upo kwa sababu mtoto anaweza akagusana na watu alafu akaipeleka mikono mdomoni kwa sababu mtoto hatambui jinsi ambavyo maambukizi hayo yanatokea.
U Heard hii hapa, Soudy Brown na Mjomba Mrisho Mpoto pamoja na Daktari wameelezea kila kitu kuhusu ishu hiyo.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE