Kwenye zile tetesi za Soudy Brown leo kakutana na msanii Man Martin kutoka Rwanda ambaye amesema amekuja kwa ajili ya kufanya video na director Nisher..amesema mpaka sasa hajampata licha ya kutoa nusu ya pesa kiasi cha milioni 200.
Amesema mpaka sasa bado hawajafanya kazi na amemuomba kwanza wasaini mkataba lakini hakuwa tayari huku akisisitiza aongeze pesa kwanza au wafanye bila mkataba.
Martin Amekaa hotelini Arusha kwa siku mbili bila kuonana naye na hadi sasahajajua ni lini watakutana.
Director Nisher hakuweza kupokea kwenye simu yake ya mkononi.
Tunaomba radhi kutokana na kuwepo matatizo ya sauti..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB, YOUTUBE