Soudy Brown kapata tetesi kuwa kundi la Central zone wana mgogoro..kapiga stori na msanii Kona wa kundi hilo ambaye inasemekana msanii mwenzake Moni alimpiga na chupa wakati wakibishana kuhusu mmiliki wa ngoma yao..Kona alitaka ngoma yao ibaki ya kundi zima wakati Moni akitaka iwe ya msanii mmoja.
Kona anasimulia kuwa wakati wakibishana akiwa hajui lolote Moni alikuwa kashikilia chupa na kumpiga nayo usoni kisha akakimbia.
Amesema baada ya tukio alikwenda hospitali na kupewa dawa..hajamchukulia RB yoyote kwa kuwa ni watu waliokuwa karibu sana.
Wasikilize hapa wakizungumza na Soudy Brown…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM,