Soudy Brown amepiga stori na dada mmoja anayeitwa Witness ambaye amesema walianza kufanya kazi kwenye kampuni inayohusika na kutengeneza Movies ya Tuesday Entertainment… dada huyo anadai tangu mwaka jana mwezi wa 10 walikubaliana namna ya malipo lakini baadaye akaanza kuwageuka akidai hawakulipwa na uongozi wake African Magic.
Witness amesema wamefanya kazi miezi mitano na tayari wameshoot sehemu nne za tamthiliya ya ‘High Heels’… mkataba wao ilikuwa wafanye kazi kwa miezi kumi, japo wamefanya kazi kwa muda wote hawajawahi kulipwa pesa zao na boss wao
Msikilize hapa Soudy Brown alivyoongea na huyo dada.
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.