Mwanamitindo na Mfanyabiashara kutokea Nairobi Kenya Huddah Monroe ametoa ushauri kwa wanawake maskini ambao wanahisi watapata utajiri wakiwa katika mahusiano na wanaume wenye hela.
Kupitia Insta story ya Huddah ameeleza stori yake kuwa aliwahi kujihusisha kimapenzi na wanaume wenye pesa yani Mabilionea lakini hakuwahi kuwa tajiri na kusema kuwa utajiri hauambukizwi kupitia tendo la ndoa hivyo inakupaswa uwe mtumwa ili ufanikiwe.
Huddah Monroe >>> “Nimejihusisha kimapenzi na mabilionea lakini sijawahi kuwa bilionea, utajiri haumbukizwi kupitia tendo la ndoa ,inabili uwe mtumwa kwaajili ya vitu vyako kila siku”
“Ulipitwa na Ukweli kinachoendelea kuhusu Petitman na Malkia Karen?”