Kumekuwa na tetesi kuwa staa maarufu kutokea Nigeria Davido ambaye kwa sasa anafanya vizuri kimataifa kuwa amesaini dili nono lenye mkwanja mrefu na Manager wa Justin Bieber ambaye ni Scooter Braun
Tetesi hizo zimezuka baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja na kufanya mazungumzo katika mkutano wa kibiashara huko Marekani , Scooter Braun kwa sasa anasimamia kazi za wasanii maarufu ikiwemo Ariana Grande, Justin Bieber , Tori Kelly, Martin Garrix na wengine wengi akiwa chini ya kampuni yake ya SB projects.
Hii inaweza ikawa ni good news kwa mashabiki wa Davido ambapo inawezekana ngoma kali ikaja soon ikiwa imewashirikisha baadhi ya wasanii wanaosimamiwa na kampuni hiyo ya SB projects.
Bonyeza PLAY hapa chini kuangalia Davido akiwa na Manger huyo.
https://youtu.be/Yapfz1vwYC0
Zari ashangazwa na wanaohukumu umri na mapenzi