Tukio la kutaka kupigana kwa Nicki Minaj na Cardi B mwishoni mwa wiki limechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii kutokana na Cardi B kupata jeraha kwenye uso wake baada ya tukio hilo.
Nicki Minaj kwenye kipindi chake cha radio cha Queen Radio amegusia kuhusiana na sakata hilo na kusema kuwa ni udhalilishaji mkubwa kwenye game ya muziki wa Hip Hop na hajafurahishwa na kitendo hicho na kuonekana yeye ndio mbaya.
Nicki Minaj alifunguka na kusema “Sijawahi kuongelea kuhusu malezi ya mtu, inanishangaza jinsi watu wanavyopenda kuniona mimi ndio mbaya, ukiangalia mtu mwenyewe ametengeneza maisha yake kwa kutia huruma na kujifanya anaonewa”
https://youtu.be/lFJxDRKln4U
“Nilikuwa navunjwa moyo na Salama, Nilipambana Kumfurahisha” – Walter Chilambo