Mtayarishaji, Mwanamuziki na Dj maarufu nchini Sweden Marehemu Tim Bergling ” Avicii” ambaye alifariki April 20,2018 akiwa na umri wa miaka 28 taarifa za upande wa ndugu wa marehemu wamesema sababu za kifo chake ni kuwa ilifikia wakati alikatama tamaa na kuamua kuchukua maamuzi ya kujiua kutokana na ugonjwa wa kongosho ulioshambulia sehemu hizo kutokana na kuzidisha matumizi ya pombe.
Marehemu Avicii aliandika barua na kuiacha ambayo ilisomwa na ndugu zake na kusema kuwa >>>“Mpendwa wetu Tim alikuwa ni mtafutaji, mtu mwenye kutafuta majibu katika kila maswali ,Marehemu Avicii alijitahidi kimawazo kujua maana ya maisha,furaha na hakuweza kuendelea kuishi lakini alivyoacha kufanya tour zake alitaka kuliganisha miasha yenye furaha na kufanya anachokipenda ambacho ni muziki”
Marehemu Dj Avicii alitamba na ngoma kali zikiwemo Wake Me Up, Hey Brother, Lonely Together na nyingine nyingi.
MC Pilipili baada ya Dodoma kuwa Jiji “Tulikuwa tunaogopa kusema unatoka Dodoma”