Dr Cheni ni miongoni mwa watu wachache ambao wana ukaribu na muigizaji Elizabeth Michael “Lulu” ambaye kwa sasa yupo jela akitumikia kifungo cha miaka miwili, kwenye Exclusive interview na Ayo Tv ameongea kuhusu ujumbe wa Lulu akiwa gerezani.
NISHA KAFUNGUKA: “Sina urafiki na Snura, maisha yanaendelea”