2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi ambapo leo Agosti 27 Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) walifanya mazungumzo na mgombea Urais kupitia UKAWA, Mhe. Edward Lowassa.
Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Millennium tower na kuhudhuriwa na mastaa wa bongo movie akiwemo, Jackline Wolper, Aunt Ezekiel, Shamsa Ford na wengineo.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos