Mix

Umelisikia Deni analodaiwa Mubenga na Mchina? Ni kwenye U-heard (+Audio)

By

on

Leo May 29, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brown ametuletea U-heard ambayo inamuhusu Mubenga ambaye anadawa kutelekeza mzigo wa kofia Chinabaada ya kushindwa kulipia gharama za ku-print.

Soudy Brown alipiga story na Mubenga ili kujua zaidi kuhusiana na hilo:>>>”Hapana sio kweli kwa sababu huyo mama wa kichina unayemzungumzia kuna oda niliitoa na ikaja kukamilika baadaye nikiwa nimesharudi Tanzania. Nilimzuia kwanza mpaka niumalize huu mzigo ndio ni-deal na huo.” – Mubenga.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full Story..

Baraka The Prince haukubali wimbo wa Ben Pol, aeleza sababu 

Soma na hizi

Tupia Comments