Baada ya Kuutambulisha mradi wa DMDP kupitia Jiji la DSM leo Ofisi ya Rais TAMISEMI wametuoyesha Uboreshaji wa Miji 18 ambao unatekelezwa kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI, Kibaha ni moja ya Halmashauri hizo 18.
Leo June 3, 2018 nakusogezea “Mradi wa Uboreshaji wa Halmashauri za Miji” (Urban Local Government Strengthening Programme) ULGSP, unaotekelezwa katika Halmashauri 18 nchini kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI ambao ndiyo msimamizi mkuu.