Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Ummy anena matumizi ya mkaa na kuni yanavyosababisha saratani
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waziri Ummy anena matumizi ya mkaa na kuni yanavyosababisha saratani
Top Stories

Waziri Ummy anena matumizi ya mkaa na kuni yanavyosababisha saratani

February 22, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa matumizi ya Nishati ya kuni na mkaa yamekuwa yakisababisha madhara ya saratani ya mfumo wa chakula hivyo wakati umefika wa kutumia nishati ya gesi ili kujiepusha na madhara ya kiafya.

Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ugawaji wa majiko ya gesi Kwa wajasiriamali 600 wa Jiji la Tanga ikiwa ni mkakati wa kuendelea kuhamasisha jamii kutunza mazingira.

Alisema kuwa matumizi ya nishati mbadala ndio ambayo yatatoa uhakika wa afya za Wananchi lakini yataweza kutulinda dhidi ya majanga ya mabadiliko ya tabia Nchi ambayo yameikumba dunia kwa Sasa.

“Mitungi hii tuliyopewa na kampuni ya Oryx Gas tunaigawa Kwa Wanawake wajasiriamali Kwa lengo la kupunguza gharama za mkaa na Kuni lakini na kuhamasisha matumizi ya gas kama nishati mbadala kwenye mapishi”– alisema Waziri Ummy.

Alisema kuwa mitungi hiyo yenye thamani ya sh Mil 51 ambayo imegaiwa Bure Kwa wajasiriamali hao Ili kuwarahisishia shughuli zao za biashara.

Nae Mkurungenzi Mkuu wa Oryx Gas .Araman Benoite amesema kuwa msaada huo ni unalenga kuhamasisha matumizi ya gesi Ili kulinda mazingira yetu ikiwemo kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi.

.
.
.
.
.
.

You Might Also Like

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Edwin TZA February 22, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 22, 2023
Next Article Mwenyekiti CCM auwawa na wasiojulikana, DC Mlele awa mkali, “Watafutwe haraka wahusika”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?