May 1, 2017 mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii ambayo huenda ulikuwa haufahamu kuhusu Sayansi, ubunifu mbalimbali wa mavazi na mambo mengine mengi ambayo leo siyo mbaya nikikujuza.
Unaambiwa, kwa mujibu wa tajiri namba moja duniani Bill Gates, hadi kufikia mwaka 2035 hakutakuwa na nchi yoyote duniani ambayo itakuwa na umasikini wa kutupwa kama ilivyo sasa.
#UNAAMBIWA Mwanasayansi Sir Isaac Newton muda mwingi alikuwa busy na tafiti zake, inasemekana alifariki akiwa hajawahi kufanya tendo la ndoa pic.twitter.com/YOEwKAyAzO
— millardayo (@millardayo) May 1, 2017
#UNAAMBIWA T-shirt ziligunduliwa mwaka 1904 na zilikuwa maalumu kwa wanaume wasiokuwa na wapenzi wa kuwasaidia kufunga vifungo vya mashati pic.twitter.com/yqwWlJh3SP
— millardayo (@millardayo) May 1, 2017
#UNAAMBIWA Kwa mujibu wa Bill Gates (Tajiri wa Dunia) hadi kufikia mwaka 2035 hakutakuwa na nchi yenye umasikini wa kutupwa kama ilivyo sasa pic.twitter.com/wk2igaJzc7
— millardayo (@millardayo) May 1, 2017
#UNAAMBIWA Vatican City, EL Salvador Nicaragua Malta Chile Jamhuri ya Dominica haziruhusu utoaji mimba hata kama hali ya mzazi iko hatarini pic.twitter.com/k7b9Up9bCX
— millardayo (@millardayo) May 1, 2017
VIDEO: Kama unajiuliza fainali ya FA Simba vs Mbao FC itachezwa wapi. Bonyeza play kutazama…