Ni jukumu langu kuhakikisha hupitwi na chochote kinachotokea kila pembe ya dunia hii ili nawe mtu wangu upate kufahamu kuhusu ulimwengu ambapo leo April 18, 2017 nimekusogezea mambo matatu ambayo pengine ulikuwa huyafahamu.
Unaambiwa kuwa tafiti mbalimbali zilizofanywa kwenye mahusiano, zimeonesha watu wengi wenye mvuto (muonekano mzuri), huwa hawadumu kwenye mapenzi.
#UNAAMBIWA Kama kuna wimbo umekukaa sana kichwani na hauupendi, cha kufanya usikilize wimbo wote kwa kuurudia itakusaidia kuusahau kabisa pic.twitter.com/Lh6Ms3vSYU
— millardayo (@millardayo) April 18, 2017
#UNAAMBIWA Ukitaka Ng'ombe atoe maziwa mengi zaidi wakati wa kumkamua, inabidi uwashe muziki jirani yake au mvalishe Headphones/Earphones pic.twitter.com/poAKXrbyao
— millardayo (@millardayo) April 18, 2017
#UNAAMBIWA Tafiti mbalimbali zilizofanywa kwenye mahusiano, zimeonesha watu wengi wenye mvuto (mwonekano mzuri) huwa hawadumu kwenye mapenzi pic.twitter.com/cYitXbjeeB
— millardayo (@millardayo) April 18, 2017
VIDEO: Maajabu mengine ya jiji la Dar, mwanamke adaiwa kufa kisha kufufuka. Bonyeza play kutazama.