Mix

PICHA 8: Donald Trump alivyoanza kuitumia ndege ya Rais “Air Force One”

on

Wiki moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump ameanza kuitumia ndege maalumu ya Rais “Air Force One” ambapo aliipanda kwa mara ya kwanza January 26, 2017 wakati akienda kuzungumza na Maseneta wa chama cha Republican huko Philadelphia.

Rais huyo ameikubali ndege hiyo na kuisifia kwa kuwa ni ya kisasa kuzidi ndege yake binafsi ambapo amenukuliwa akisema “Ni ndege nzuri, kubwa na ya kisasa  kuzidi ndege yangu Boeing 757 japokuwa nayo ni nzuri lakini Air Force One ni zaidi”

Nimekuwekea hapa picha zikimuonesha Rais Trump akiwa kwenye ndege hiyo.

VIDEO: Kingine cha kufahamu kuhsu barabara za juu (FlyOvers) eneo la Ubungo Dar es salaam, Bonyeza play kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments